Ujenzi wa jiwe la amri 10 za Mungu wapingwa Marekani

Go down

Ujenzi wa jiwe la amri 10 za Mungu wapingwa Marekani

Post by Admin on 29/06/17, 06:35 pm


"Wanaharakati katika jimbo la Arkansas nchini Marekani, wanapinga ujenzi wa jiwe moja kubwa lililo na maandishi ya amri 10 za Mungu, kwenye uwanja wa makao makuu ya bunge la jimbo hilo. . . Muungano wa haki na uhuru wa raia nchini Marekani ACLU, umewasilisha kesi mahakamani kutaka kuondolewa mara moja kwa mnara huo, ukisema kuwa unaleta mgawanyiko na unakiuka ahadi ya uhuru wa kidini kwa wote, katika katiba ya Marekani." —([/url]BBC 28 Juni 2017)

Je amri 10 ambazo ni Neno la Mungu zinaleta mgawanyiko na kukiuka uhuru wa dini? Kama amri kumi zinaondoa uhuru wa dini kama wanavyodai, ni hakika Marekani inaelekea kuikata Biblia kwa sababu Biblia pia ina amri 10, unawezaje kutumia Biblia wakati unapinga amri kumi? Kama kwenye Biblia kuna maneno yanayoondoa uhuru wa dini, basi nimeelewa kabisa kwamba Biblia inaelekea kukataliwa na Uprotestanti. Wanazichukia amri 10 kwa sababu zinafunua wazi uovu wao wa sheria ya Jumapili wanayoandaa njia kuipitisha. Je amri 10 ndizo zinaondoa uhuru wa dini au sheria ya jumapili ndiyo inaondoa uhuru wa dini? Nipe jibu.

Admin
Admin

Posts : 16
Join date : 01/06/2017

View user profile http://slm1.board-directory.net

Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum