UN yalaani vikali sera za kanisa Katoliki

Go down

UN yalaani vikali sera za kanisa Katoliki

Post by Admin on 27/06/17, 08:23 am


"Umoja wa mataifa umetuhumu makao makuu ya kanisa katoliki la Vatican kwa kuidhinisha na kutumia sera zilizowezesha mapadre kubaka na kuwalawiti maelfu ya watoto. . . .Umoja wa mataifa unasema uongozi wa kanisa katoliki unapaswa kufanya juhudi zaidi ili kuzuia makosa yaliyowahi kutokea. . . .Ripoti hiyo pia imekosoa msimamo wa Kanisa katoliki mapenzi ya jinsia moja,upangaji uzazi na uavyaji mimba." —(BBC 5 Februari 2014)


VIDEO: Mvinyo Ya  Babuloni part II
VIDEO: Umoja Wa  Mataifa na Agenda za Kichawi


Admin
Admin

Posts : 16
Join date : 01/06/2017

View user profile http://slm1.board-directory.net

Back to top Go down

Back to top


 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum