Kadinali George Pell ashtakiwa Australia kwa kuwanyanyasa watoto kingono

Go down

Kadinali George Pell ashtakiwa Australia kwa kuwanyanyasa watoto kingono

Post by Admin on 29/06/17, 07:06 pm


"Polisi nchini Australia imemshitaki kadinali wa kanisa katholiki mwenye ushawishi mkubwa George Pell, kwa makosa kadhaa ya kuwanyanyasa watoto kingono." —(BBC 29 Juni 2017)

Hata hivyo Kadinali Pell alikataa kwamba hakufanya kitendo hicho, lakini Australia kuna kesi nyingi za makasi wanaonyanyasa watoto kingono, na mashitaka ya Pell yanaweza kuwa ni kweli ingawa yeye anakata ili kujisafisha jina lake.

Admin
Admin

Posts : 16
Join date : 01/06/2017

View user profile http://slm1.board-directory.net

Back to top Go down

Back to top

- Similar topics

 
Permissions in this forum:
You cannot reply to topics in this forum